Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waamuzi 8:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Lakini Gideoni akawaambia, “Mimi sitawatawala, wala mwanangu. Yehova ndiye atakayewatawala.”+

  • 1 Samweli 8:4, 5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Baada ya muda wazee wote wa Waisraeli walikusanyika pamoja na kuja kumwona Samweli huko Rama. 5 Wakamwambia: “Tazama! Umezeeka, lakini wana wako hawatembei katika njia zako. Basi tuchagulie mfalme awe mwamuzi wetu kama mataifa mengine yote.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki