Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waamuzi 19:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Walipokuwa wakila na kunywa, wanaume fulani wahuni katika jiji hilo wakaizingira nyumba na kuugonga mlango kwa fujo, huku wakimwambia hivi mzee huyo mwenye nyumba, “Mtoe nje yule mwanamume aliyeingia nyumbani mwako, ili tufanye ngono naye.”+

  • Waamuzi 19:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Lakini wanaume hao hawakumsikiliza, basi yule mtu akamtoa nje kwa nguvu suria* wake.+ Wakambaka na kumtendea vibaya usiku kucha mpaka asubuhi. Kisha kulipopambazuka wakamwacha aende zake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki