Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waamuzi 3:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Ndipo hasira ya Yehova ikawaka dhidi ya Waisraeli, naye akawatia* mikononi mwa Kushan-rishathaimu mfalme wa Mesopotamia.* Na Waisraeli wakamtumikia Kushan-rishathaimu kwa miaka minane.

  • 2 Wafalme 17:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Yehova aliwakataa wazao wote wa Israeli, akawaaibisha na kuwatia mikononi mwa waporaji, mpaka alipowatupa mbali kutoka mbele zake.

  • Zaburi 106:40, 41
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 40 Kwa hiyo hasira ya Yehova ikawaka dhidi ya watu wake,

      Naye akauchukia sana urithi wake.

      41 Aliwatia tena na tena mikononi mwa mataifa,+

      Ili wale waliowachukia waweze kuwatawala.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki