Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 23:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 mali ya Abrahamu aliyoinunua mbele ya wana wa Hethi, mbele ya wote walioingia katika lango la jiji lake.

  • Yeremia 32:9, 10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Basi nikalinunua shamba lililokuwa Anathothi kutoka kwa Hanameli mwana wa ndugu ya baba yangu. Nikampimia pesa,+ shekeli saba* na vipande kumi vya fedha. 10 Kisha nikaandika katika hati,+ nikaitia muhuri, nikawaita mashahidi,+ nami nikapima pesa kwa mizani.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki