-
Mwanzo 35:23-26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Wana wa Lea walikuwa Rubeni,+ mzaliwa wa kwanza wa Yakobo, kisha Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari, na Zabuloni. 24 Wana wa Raheli walikuwa Yosefu na Benjamini. 25 Na wana wa Bilha kijakazi wa Raheli walikuwa Dani na Naftali. 26 Na wana wa Zilpa kijakazi wa Lea walikuwa Gadi na Asheri. Hao ndio wana wa Yakobo waliozaliwa Padan-aramu.
-
-
Mwanzo 46:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Hao ndio wana ambao Raheli alimzalia Yakobo: wote walikuwa 14.
-
-
Mwanzo 46:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Hao ndio wana wa Bilha, kijakazi ambaye Labani alimpa Raheli binti yake. Alimzalia Yakobo wana hao: wote walikuwa saba.
-