Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ruthu 2:11, 12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Boazi akamjibu: “Nimeambiwa mambo yote uliyomfanyia mama mkwe wako baada ya mume wako kufa na jinsi ulivyomwacha baba yako na mama yako na nchi ya watu wako wa ukoo ukaja kwa watu ambao hukuwajua.+ 12 Yehova na akuthawabishe kwa yale uliyofanya,+ na upate malipo* kamili kutoka kwa Yehova Mungu wa Israeli, ambaye umekuja kutafuta kimbilio chini ya mabawa yake.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki