Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 9:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Mara tu mtakapoingia jijini, mtamkuta kabla hajapanda kwenda mahali pa juu kula chakula. Watu hawatakula mpaka atakapofika, kwa maana yeye ndiye anayebariki dhabihu. Baada ya kufanya hivyo, wale walioalikwa wanaweza kula. Basi pandeni sasa moja kwa moja, mtamkuta.”

  • 1 Samweli 9:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Samweli akamjibu Sauli: “Mimi ndiye mwonaji. Panda utangulie mbele yangu mahali pa juu, nawe utakula pamoja nami leo.+ Asubuhi nitakuruhusu uende, nami nitakueleza mambo yote unayotaka kujua.*

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki