-
1 Samweli 9:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Punda wa Kishi baba ya Sauli walipopotea, Kishi alimwambia hivi Sauli mwanawe: “Tafadhali mchukue mtumishi mmoja mwende mkawatafute punda.”
-
-
1 Samweli 9:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Ndipo Sauli akamwambia hivi mtumishi wake: “Ulilosema ni jema. Haya twende.” Basi wakaenda katika jiji alimokuwa yule mtu wa Mungu wa kweli.
-