1 Samweli 9:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Ndipo Sauli akamwambia mtumishi wake: “Neno lako ni jema.+ Haya njoo, twende.” Nao wakaenda zao kwenye jiji lile alilokuwamo mtu wa Mungu wa kweli.
10 Ndipo Sauli akamwambia mtumishi wake: “Neno lako ni jema.+ Haya njoo, twende.” Nao wakaenda zao kwenye jiji lile alilokuwamo mtu wa Mungu wa kweli.