-
1 Samweli 9:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Ndipo Sauli akamwambia hivi mtumishi wake: “Ulilosema ni jema. Haya twende.” Basi wakaenda katika jiji alimokuwa yule mtu wa Mungu wa kweli.
-