Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 7:16-18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Kesho yake, Yoshua akaamka asubuhi na mapema akawakusanya Waisraeli, kabila kwa kabila, na kabila la Yuda likachaguliwa. 17 Kisha akaleta karibu koo za Yuda na ukoo wa Wazera+ ukachaguliwa, kisha akaleta karibu familia za ukoo wa Wazera, mwanamume kwa mwanamume, na Zabdi akachaguliwa. 18 Mwishowe akaleta karibu familia ya Zabdi, mwanamume kwa mwanamume, naye Akani mwana wa Karmi, mwana wa Zabdi, mwana wa Zera, wa kabila la Yuda, akachaguliwa.+

  • Matendo 1:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Ndipo wakasali wakisema: “Wewe, Ee Yehova,* unayejua mioyo ya wote,+ onyesha ni nani kati ya watu hawa wawili ambaye umemchagua

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki