Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 7:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Basi Yoshua akatuma wanaume kutoka Yeriko waende Ai,+ karibu na Beth-aveni, upande wa mashariki wa Betheli,+ akawaambia: “Pandeni mkaipeleleze nchi.” Kwa hiyo wanaume hao wakapanda na kwenda kupeleleza jiji la Ai.

  • Yoshua 18:11, 12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Kabila la Benjamini liligawiwa urithi wao kwa kura kulingana na koo zao, walipewa urithi kati ya kabila la Yuda+ na wazao wa Yosefu.+ 12 Mpaka wao wa kaskazini ulianzia Yordani, na kwenda kaskazini kwenye mteremko wa Yeriko+ na kupanda mlimani upande wa magharibi, hadi katika nyika ya Beth-aveni.+

  • 1 Samweli 14:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Basi Yehova akawaokoa Waisraeli siku hiyo,+ na vita vikaenea mpaka Beth-aveni.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki