2Kisha Yoshua mwana wa Nuni akawatuma kwa siri wanaume wawili wapelelezi kutoka Shitimu,+ akawaambia: “Nendeni mkaipeleleze nchi, hasa jiji la Yeriko.” Basi wakaenda na kufika nyumbani kwa mwanamke mmoja kahaba aliyeitwa Rahabu,+ wakakaa humo.
16Na nchi ambayo wazao wa Yosefu+ waligawiwa*+ ilianzia Yordani huko Yeriko hadi kwenye vijito vilivyo upande wa mashariki wa Yeriko, na kupitia nyikani hadi Yeriko katika eneo lenye milima la Betheli.+