1 Samweli 14:27 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 27 Lakini Yonathani hakumsikia baba yake akiwaapisha watu,+ kwa hiyo akanyoosha ncha ya fimbo iliyokuwa mkononi mwake na kuichovya ndani ya sega la asali. Alipourudisha mkono wake kinywani na kuila, macho yake yakang’aa.
27 Lakini Yonathani hakumsikia baba yake akiwaapisha watu,+ kwa hiyo akanyoosha ncha ya fimbo iliyokuwa mkononi mwake na kuichovya ndani ya sega la asali. Alipourudisha mkono wake kinywani na kuila, macho yake yakang’aa.