1 Samweli 17:26 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 26 Daudi akaanza kuwauliza wanaume waliokuwa wamesimama karibu naye: “Mtu atakayemuua yule Mfilisti na kuwaondolea Waisraeli aibu atafanyiwa nini? Kwani huyu Mfilisti asiyetahiriwa ni nani hata avitukane* vikosi vya Mungu aliye hai?”+ 2 Wafalme 19:22 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 22 Umemdhihaki na kumkufuru nani?+ Umepaza sauti yako dhidi ya nani+Na kuinua macho yako yenye kiburi? Ni dhidi ya Mtakatifu wa Israeli!+
26 Daudi akaanza kuwauliza wanaume waliokuwa wamesimama karibu naye: “Mtu atakayemuua yule Mfilisti na kuwaondolea Waisraeli aibu atafanyiwa nini? Kwani huyu Mfilisti asiyetahiriwa ni nani hata avitukane* vikosi vya Mungu aliye hai?”+
22 Umemdhihaki na kumkufuru nani?+ Umepaza sauti yako dhidi ya nani+Na kuinua macho yako yenye kiburi? Ni dhidi ya Mtakatifu wa Israeli!+