Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 37:23-25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Umemdhihaki+ na kumkufuru nani?

      Umepaza sauti yako dhidi ya nani+

      Na kuinua macho yako yenye kiburi?

      Ni dhidi ya Mtakatifu wa Israeli!+

      24 Kupitia watumishi wako umemdhihaki Yehova+ ukisema,

      ‘Kwa wingi wa magari yangu ya vita

      Nitapanda vilele vya milima,+

      Sehemu za mbali sana za Lebanoni.

      Nitakata mierezi yake mirefu sana, miberoshi yake iliyo bora.

      Nitaingia mahali pake palipo juu zaidi, misitu yake yenye miti mingi sana.

      25 Nitachimba visima na kunywa maji;

      Nitavikausha vijito vya* Misri kwa nyayo za miguu yangu.’

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki