12 “Yehova atakapomaliza kazi yake yote kwenye Mlima Sayuni na Yerusalemu, atamwadhibu mfalme wa Ashuru kwa sababu ya moyo wake wenye dharau na macho yake yanayotazama kwa kiburi na majivuno.+ 13 Kwa maana anasema,
‘Nitafanya hivyo kwa nguvu za mkono wangu
Na kwa hekima yangu, kwa maana nina hekima.