Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 35:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Kisha wakaondoka Betheli. Na walipokuwa umbali fulani kabla ya kufika Efrathi, Raheli akaanza kuzaa, na uchungu wa kuzaa ulikuwa mkali sana.

  • Mwanzo 35:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Kwa hiyo Raheli akafa na kuzikwa njiani kuelekea Efrathi, yaani, Bethlehemu.+

  • Ruthu 1:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Mwanamume huyo aliitwa Elimeleki,* na mke wake aliitwa Naomi,* na watoto wake wawili waliitwa Maloni* na Kilioni.* Walikuwa Waefrathi kutoka Bethlehemu nchini Yuda. Wakafika katika mashamba ya Moabu na kuishi huko.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki