Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 48:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Nilipokuwa nikitoka Padani, Raheli alikufa+ kando yangu katika nchi ya Kanaani, na bado tulikuwa na safari ndefu kabla ya kufika Efrathi.+ Kwa hiyo nikamzika huko nikiwa njiani kuelekea Efrathi, yaani, Bethlehemu.”+

  • Mika 5:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  2 Na wewe, Ee Bethlehemu Efratha,+

      Uliye mdogo sana usiweze kuwa miongoni mwa maelfu ya* Yuda,+

      Kutoka kwako atatoka kwa ajili yangu yule atakayekuwa mtawala katika Israeli,

      Ambaye asili yake ni ya tangu nyakati za kale, tangu siku za zamani za kale.

  • Mathayo 2:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 ‘Na wewe, ewe Bethlehemu ya nchi ya Yuda, wewe si mji mdogo zaidi miongoni mwa magavana wa Yuda, kwa maana kutoka kwako atakuja kiongozi, atakayewachunga watu wangu Israeli.’”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki