-
1 Samweli 20:41Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
41 Mtumishi huyo alipoondoka, Daudi akatoka mahali alipokuwa amejificha hapo karibu upande wa kusini. Kisha akaanguka chini kifudifudi na kuinama mara tatu, nao wakabusiana na kulia pamoja, lakini Daudi alilia zaidi.
-
-
2 Samweli 1:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
Upendo wako kwangu ulikuwa mzuri sana kuliko upendo wa wanawake.+
-