2 Samweli 21:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Basi mfalme akamchukua Armoni na Mefiboshethi, wana wawili ambao Rispa+ binti ya Aya alimzalia Sauli, na wana watano ambao Mikali*+ binti ya Sauli alimzalia Adrieli+ mwana wa Barzilai, Mmeholathi.
8 Basi mfalme akamchukua Armoni na Mefiboshethi, wana wawili ambao Rispa+ binti ya Aya alimzalia Sauli, na wana watano ambao Mikali*+ binti ya Sauli alimzalia Adrieli+ mwana wa Barzilai, Mmeholathi.