Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 17:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 Daudi akaanza kuwauliza wanaume waliokuwa wamesimama karibu naye: “Mtu atakayemuua yule Mfilisti na kuwaondolea Waisraeli aibu atafanyiwa nini? Kwani huyu Mfilisti asiyetahiriwa ni nani hata avitukane* vikosi vya Mungu aliye hai?”+

  • 1 Samweli 17:36
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 36 Mimi mtumishi wako nilimuua simba na dubu pia, na huyu Mfilisti asiyetahiriwa atakuwa kama mmoja wao, kwa sababu amevitukana* vikosi vya Mungu aliye hai.”+

  • 2 Samweli 3:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Kisha Daudi akawatuma wajumbe kwa Ish-boshethi,+ mwana wa Sauli, akisema: “Nipe mke wangu Mikali, niliyemchumbia kwa magovi 100 ya Wafilisti.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki