Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 18:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Kwa hiyo Sauli akasema: “Hivi ndivyo mnavyopaswa kumwambia Daudi: ‘Mfalme hataki mahari yoyote+ isipokuwa magovi 100 ya Wafilisti,+ ili mfalme awalipize kisasi maadui wake.’” Lakini Sauli alikuwa anapanga njama ili Wafilisti wamuue Daudi.

  • 1 Samweli 18:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Daudi alienda na wanaume wake na kuwaua wanaume 200 Wafilisti, na Daudi akamletea mfalme idadi kamili ya magovi yao, ili afanye mapatano ya ndoa na mfalme. Basi Sauli akampa Daudi Mikali binti yake awe mke wake.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki