Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 13:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Wafilisti pia wakakusanyika pamoja ili wapigane na Waisraeli, nao walikuwa na magari 30,000 ya vita na wapanda farasi 6,000 na wanajeshi wengi kama chembe za mchanga kwenye ufuo wa bahari;+ nao wakapanda na kupiga kambi kule Mikmashi upande wa mashariki wa Beth-aveni.+

  • 1 Samweli 14:52
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 52 Kulikuwa na vita vikali dhidi ya Wafilisti siku zote za Sauli.+ Sauli alipomwona mwanamume yeyote mwenye nguvu au jasiri alimwandikisha katika utumishi wake.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki