1 Samweli 22:2 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 Na watu wote waliokuwa na shida na madeni na malalamishi* wakakusanyika kwake, akawa kiongozi wao. Watu 400 hivi walikuwa pamoja naye. 1 Samweli 25:13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 Mara moja Daudi akawaambia wanaume wake: “Kila mtu ajifunge upanga wake!”+ Basi wote wakajifunga panga zao, na Daudi pia akajifunga upanga wake mwenyewe, na wanaume wapatao 400 wakapanda pamoja na Daudi, huku wanaume 200 wakibaki na mizigo.
2 Na watu wote waliokuwa na shida na madeni na malalamishi* wakakusanyika kwake, akawa kiongozi wao. Watu 400 hivi walikuwa pamoja naye.
13 Mara moja Daudi akawaambia wanaume wake: “Kila mtu ajifunge upanga wake!”+ Basi wote wakajifunga panga zao, na Daudi pia akajifunga upanga wake mwenyewe, na wanaume wapatao 400 wakapanda pamoja na Daudi, huku wanaume 200 wakibaki na mizigo.