Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 18:3, 4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Kisha akasema: “Yehova, ikiwa nimepata kibali machoni pako, tafadhali usinipite mimi mtumishi wako. 4 Tafadhali, acheni maji kidogo yaletwe ili mwoshwe miguu yenu;+ kisha mpumzike chini ya mti.

  • Luka 7:44
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 44 Ndipo akamgeukia yule mwanamke na kumwambia Simoni: “Unamwona mwanamke huyu? Niliingia katika nyumba yako; hukunipa maji ya kuosha miguu yangu. Lakini mwanamke huyu aliiosha miguu yangu kwa machozi yake na kuifuta kwa nywele zake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki