8 Baadaye Daudi akainuka na kutoka pangoni, akamwita Sauli: “Bwana wangu mfalme!”+ Sauli alipoangalia nyuma, Daudi aliinama hadi chini kifudifudi na kusujudu.
16 Mara tu Daudi alipomaliza kumwambia maneno hayo, Sauli akasema: “Je, hiyo ni sauti yako, Daudi mwanangu?”+ Kisha Sauli akaanza kulia kwa sauti kubwa.