Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Mambo ya Nyakati 13:12-14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Basi Daudi akamwogopa Mungu wa kweli siku hiyo na kusema: “Ninawezaje kulileta kwangu Sanduku la Mungu wa kweli?”+ 13 Daudi hakulileta Sanduku hilo mahali alipokuwa katika Jiji la Daudi, lakini aliagiza lipelekwe katika nyumba ya Obed-edomu, Mgathi. 14 Sanduku la Mungu wa kweli lilikaa pamoja na watu wa nyumba ya Obed-edomu, likabaki katika nyumba yake kwa miezi mitatu, na Yehova akaendelea kuwabariki watu wa nyumba ya Obed-edomu na vitu vyote alivyokuwa navyo.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki