27 Mfalme akamwambia kuhani Sadoki: “Je, wewe si mwonaji?+ Rudi jijini kwa amani, na pia wachukue wana wenu wawili, Ahimaazi mwana wako na Yonathani+ mwana wa Abiathari.
3 Daudi, pamoja na Sadoki+ kutoka kwa wana wa Eleazari na Ahimeleki kutoka kwa wana wa Ithamari, waliwagawa katika vikundi kulingana na mpangilio wao wa utumishi.