8 Haya ndiyo majina ya mashujaa hodari wa Daudi:+ Yosheb-bashebethi Mtakemoni, kiongozi wa wale watatu.+ Wakati mmoja, alitumia mkuki wake kuwaua watu 800.
8 Daudi aliposikia habari hizo, alimtuma Yoabu+ na jeshi lote, kutia ndani mashujaa wake hodari zaidi.+9 Nao Waamoni wakatoka na kujipanga kivita kwenye lango la jiji huku wafalme waliokuja wakiwa peke yao uwanjani.