7 Daudi aliposikia habari hizo, akamtuma Yoabu na jeshi lote, kutia ndani mashujaa wake hodari zaidi.+ 8 Nao Waamoni wakatoka na kujipanga kivita kwenye lango la jiji huku Wasiria wa Soba na wa Rehobu, pamoja na Ishtobu na Maaka, wakiwa peke yao uwanjani.