Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 55:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Maneno yake ni laini kuliko siagi,+

      Lakini mzozo umo moyoni mwake.

      Maneno yake ni laini kuliko mafuta,

      Lakini ni panga zilizochomolewa.+

  • Methali 10:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Anayeficha chuki yake husema uwongo,+

      Na yule anayeeneza habari zinazodhuru* ni mpumbavu.

  • Methali 26:24-26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Anayewachukia wengine huficha chuki hiyo kwa midomo yake,

      Lakini ndani amesitiri udanganyifu.

      25 Ingawa anaongea kwa fadhili, usimwamini,

      Kwa maana kuna mambo saba yanayochukiza moyoni mwake.*

      26 Ingawa chuki yake imefichwa kwa udanganyifu,

      Uovu wake utafunuliwa kutanikoni.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki