Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 13:39
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 39 Mwishowe Mfalme Daudi akatamani kwenda kumwona Absalomu, kwa maana alikuwa ametulia* baada ya kifo cha Amnoni.

  • 2 Samweli 18:33
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 33 Jambo hilo likamtaabisha mfalme, akapanda kwenye chumba kilicho paani juu ya lango na kulia, alikuwa akisema hivi huku akitembea: “Mwanangu Absalomu, mwanangu, mwanangu Absalomu! Laiti ningekufa badala yako, Absalomu mwanangu, mwanangu!”+

  • 2 Samweli 19:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Basi siku hiyo ushindi* uligeuka na kuwa maombolezo kwa watu wote, kwa sababu walisikia kwamba mfalme alikuwa akimwombolezea mwana wake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki