36 Wana wao wawili, Ahimaazi+ mwana wa Sadoki na Yonathani+ mwana wa Abiathari wako huko pamoja nao, nanyi mtawatumia wana hao kuniletea habari zote mtakazosikia.”
16 Sasa tumeni ujumbe haraka kwa Daudi na kumwonya hivi: ‘Usikae kwenye vivuko vilivyo nyikani usiku wa leo, lakini hakikisha umevuka, usipofanya hivyo, wewe mfalme na watu wote walio pamoja nawe mtaangamizwa.’”*+
21 Baada ya wanaume hao kwenda zao, walitoka kisimani na kwenda kumjulisha Mfalme Daudi. Wakamwambia: “Ondoka, uvuke haraka maji haya, kwa maana Ahithofeli ametoa ushauri dhidi yako.”+