2 Samweli 17:21 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 21 Na ikawa kwamba baada ya kuondoka kwao, ndipo wakatoka ndani ya kile kisima, wakaenda, wakamweleza Daudi na kumwambia Daudi: “Ondokeni, vukeni juu ya maji mbiombio; kwa maana hivi ndivyo Ahithofeli alivyotoa shauri+ juu yenu.”
21 Na ikawa kwamba baada ya kuondoka kwao, ndipo wakatoka ndani ya kile kisima, wakaenda, wakamweleza Daudi na kumwambia Daudi: “Ondokeni, vukeni juu ya maji mbiombio; kwa maana hivi ndivyo Ahithofeli alivyotoa shauri+ juu yenu.”