2 Basi kulikuwa na mtumishi wa nyumba ya Sauli aliyeitwa Siba.+ Kwa hiyo wakamwita aje kwa Daudi, na mfalme akamuuliza: “Je, wewe ni Siba?” Akajibu: “Ni mimi mtumishi wako.”
9 Sasa mfalme akaagiza Siba mtumishi wa Sauli aitwe, akamwambia: “Kila kitu ambacho kilikuwa cha Sauli na nyumba yake yote ninampa mjukuu wa bwana wako.+