Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 19:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Ndipo Shimei+ mwana wa Gera, Mbenjamini kutoka Bahurimu, akashuka haraka pamoja na watu wa Yuda ili kumpokea Mfalme Daudi,

  • 1 Wafalme 2:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 “Pia, Shimei mwana wa Gera, Mbenjamini, kutoka Bahurimu yuko pamoja nawe. Yeye ndiye aliyenitukana vikali+ siku niliyokuwa nikienda Mahanaimu;+ lakini aliposhuka kuja kunipokea kwenye Mto Yordani, nilimwapia hivi kwa jina la Yehova: ‘Sitakuua kwa upanga.’+

  • 1 Wafalme 2:44
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 44 Kisha mfalme akamwambia Shimei: “Unajua moyoni mwako madhara yote uliyomtendea baba yangu Daudi,+ basi Yehova atakulipiza kwa sababu ya madhara hayo.*+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki