5 Mfalme Daudi alipofika Bahurimu, mtu fulani kutoka katika ukoo wa nyumba ya Sauli anayeitwa Shimei,+ mwana wa Gera, akaja kumtukana Daudi huku akimkaribia.+
13 Kwa hiyo Daudi na wanaume wake wakaendelea kuteremka barabarani huku Shimei akitembea kando ya mlima sambamba na Daudi, naye alikuwa akimtukana kwa sauti,+ akitupa mawe na kurusha mavumbi mengi.