2 Basi mfalme akamwambia Yoabu+ mkuu wa jeshi aliyekuwa pamoja naye: “Tafadhali nenda katika makabila yote ya Israeli, kuanzia Dani mpaka Beer-sheba,+ uwaandikishe watu, ili nijue idadi yao.”
6 Kwa hiyo Daudi akasema: “Yeyote atakayekuwa wa kwanza kuwashambulia Wayebusi atakuwa kiongozi* na mkuu.” Basi Yoabu+ mwana wa Seruya akawa wa kwanza kupanda huko kuwashambulia, akawa kiongozi.