Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 7:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Yoshua na Waisraeli wote wakamchukua Akani+ mwana wa Zera, zile fedha, lile vazi rasmi maridadi, na kile kipande cha dhahabu,+ pamoja na wanawe, binti zake, ng’ombe dume wake, punda wake, kondoo na mbuzi wake, hema lake, na vitu vyake vyote, wakavileta katika Bonde la* Akori.+

  • Yoshua 7:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 Nao wakarundika mawe mengi juu yake ambayo yapo hadi leo. Ndipo hasira ya Yehova ikapoa.+ Ndiyo sababu tangu siku hiyo mahali hapo panaitwa Bonde la Akori.*

  • Yoshua 8:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Akamtundika mtini mfalme wa Ai mpaka jioni, na jua lilipokaribia kutua, Yoshua akaagiza maiti yake iondolewe mtini.+ Kisha wakaitupa kwenye lango la jiji na kurundika mawe mengi juu ya maiti hiyo, na rundo hilo lipo mpaka leo.

  • Yoshua 10:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Basi wakawatoa pangoni wafalme hawa watano na kuwaleta kwake: mfalme wa Yerusalemu, mfalme wa Hebroni, mfalme wa Yarmuthi, mfalme wa Lakishi, na mfalme wa Egloni.+

  • Yoshua 10:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Na jua lilipotua, Yoshua akaagiza washushwe kutoka kwenye miti+ hiyo na kutupwa ndani ya pango ambamo walikuwa wamejificha. Kisha mawe makubwa yakawekwa kwenye mwingilio wa pango hilo, nayo yapo mpaka leo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki