2 Samweli 18:33 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 33 Jambo hilo likamtaabisha mfalme, akapanda kwenye chumba kilicho paani juu ya lango na kulia, alikuwa akisema hivi huku akitembea: “Mwanangu Absalomu, mwanangu, mwanangu Absalomu! Laiti ningekufa badala yako, Absalomu mwanangu, mwanangu!”+
33 Jambo hilo likamtaabisha mfalme, akapanda kwenye chumba kilicho paani juu ya lango na kulia, alikuwa akisema hivi huku akitembea: “Mwanangu Absalomu, mwanangu, mwanangu Absalomu! Laiti ningekufa badala yako, Absalomu mwanangu, mwanangu!”+