Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 3:2-5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Wakati huo, Daudi akazaa wana huko Hebroni.+ Mzaliwa wake wa kwanza aliitwa Amnoni+ na mama yake alikuwa Ahinoamu+ wa Yezreeli. 3 Mzaliwa wake wa pili alikuwa Kileabu na mama yake alikuwa Abigaili,+ mjane wa Nabali Mkarmeli; na wa tatu alikuwa Absalomu+ mwana wa Maaka, binti ya Talmai+ mfalme wa Geshuri. 4 Wa nne alikuwa Adoniya+ mwana wa Hagithi, na wa tano alikuwa Shefatia mwana wa Abitali. 5 Wa sita alikuwa Ithreamu mwana wa Egla, mke wa Daudi. Hao ndio wana ambao Daudi aliwazaa huko Hebroni.

  • 2 Samweli 5:14-16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Haya ndiyo majina ya watoto wake waliozaliwa Yerusalemu: Shamua, Shobabu, Nathani,+ Sulemani,+ 15 Ibhari, Elishua, Nefegi, Yafia, 16 Elishama, Eliada, na Elifeleti.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki