Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Mambo ya Nyakati 3:1-4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Hawa ndio wana wa Daudi waliozaliwa Hebroni:+ mzaliwa wa kwanza aliitwa Amnoni,+ mama yake aliitwa Ahinoamu+ kutoka Yezreeli; wa pili, Danieli, mama yake aliitwa Abigaili+ Mkarmeli; 2 wa tatu, Absalomu,+ mwana wa Maaka binti ya Talmai mfalme wa Geshuri; wa nne, Adoniya+ mwana wa Hagithi; 3 wa tano, Shefatia, ambaye mama yake aliitwa Abitali; na wa sita, Ithreamu, ambaye mama yake aliitwa Egla, mke wa Daudi. 4 Aliwazaa wana hao sita kule Hebroni; alitawala huko kwa miaka 7 na miezi 6, naye alitawala kule Yerusalemu kwa miaka 33.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki