Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 31:55
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 55 Hata hivyo, Labani akaamka asubuhi na mapema, akawabusu wajukuu wake+ na mabinti zake na kuwabariki.+ Kisha Labani akaondoka, akarudi nyumbani.+

  • 1 Samweli 20:41
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 41 Mtumishi huyo alipoondoka, Daudi akatoka mahali alipokuwa amejificha hapo karibu upande wa kusini. Kisha akaanguka chini kifudifudi na kuinama mara tatu, nao wakabusiana na kulia pamoja, lakini Daudi alilia zaidi.

  • Matendo 20:37
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 37 Kwa kweli, wote wakalia sana, nao wakamkumbatia Paulo* na kumbusu kwa upendo,*

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki