9 Kisha wanawe wakamletea damu,+ naye akachovya kidole chake katika damu hiyo na kupaka pembe za madhabahu, na damu iliyobaki akaimwaga kwenye msingi wa madhabahu.+
13 “‘Mwisraeli yeyote au mgeni yeyote anayeishi miongoni mwenu akiwinda na kumkamata mnyama wa mwituni au ndege anayeweza kuliwa, ni lazima amwage damu yake+ chini na kuifunika kwa udongo.