Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Mambo ya Nyakati 11:22-25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Benaya+ mwana wa Yehoyada alikuwa mwanamume jasiri* aliyefanya mambo mengi ya kishujaa kule Kabzeeli.+ Aliwaua wana wawili wa Arieli wa Moabu, naye aliingia ndani ya shimo la maji siku ya theluji na kumuua simba.+ 23 Alimuua pia mwanamume Mmisri aliyekuwa mkubwa isivyo kawaida—mwenye urefu wa mikono mitano.*+ Ingawa Mmisri huyo alikuwa na mkuki mkononi kama mti wa wafumaji wa nguo,+ Benaya alikabiliana naye akiwa na fimbo, akamnyang’anya Mmisri huyo mkuki kutoka mkononi mwake na kumuua kwa mkuki wake mwenyewe.+ 24 Benaya mwana wa Yehoyada alifanya mambo hayo, naye alikuwa maarufu kama wale mashujaa watatu hodari. 25 Ingawa alikuwa mashuhuri hata kuliko wale 30, hakuwa shujaa kama wale watatu.+ Lakini Daudi alimweka kuwa kiongozi wa walinzi wake binafsi.

  • Methali 30:30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 Simba, mnyama mwenye nguvu zaidi kuliko wanyama wote,

      Ambaye hamkimbii yeyote;+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki