-
1 Mambo ya Nyakati 11:26-41Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Mashujaa hodari jeshini walikuwa Asaheli+ ndugu ya Yoabu, Elhanani mwana wa Dodo wa Bethlehemu,+ 27 Shamothi Mharori, Helezi Mpeloni, 28 Ira+ mwana wa Ikeshi Mtekoa, Abiezeri+ Mwanathothi, 29 Sibekai+ Mhusha, Ilai Mwahohi, 30 Maharai+ Mnetofa, Heledi+ mwana wa Baana Mnetofa, 31 Ithai mwana wa Ribai wa jiji la Gibea la Wabenjamini,+ Benaya Mpirathoni, 32 Hurai kutoka katika makorongo* ya Gaashi,+ Abieli Mwarbathi, 33 Azmavethi Mbaharumu, Eliaba Mshaalboni, 34 wana wa Hashemu Mgizoni, Yonathani mwana wa Shagee Mharari, 35 Ahiamu mwana wa Sakari Mharari, Elifali mwana wa Uru, 36 Heferi Mmekerathi, Ahiya Mpeloni, 37 Hezro Mkarmeli, Naarai mwana wa Ezbai, 38 Yoeli ndugu ya Nathani, Mibhari mwana wa Hagri, 39 Seleki Mwamoni, Naharai Mberothi, aliyembebea silaha Yoabu mwana wa Seruya; 40 Ira Mwithri, Garebu Mwithri, 41 Uria+ Mhiti, Zabadi mwana wa Alai,
-