-
1 Mambo ya Nyakati 21:5, 6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Basi Yoabu akampa Daudi idadi ya watu walioandikishwa. Wanaume wote wa Israeli waliojihami kwa mapanga walikuwa 1,100,000, na wanaume wa Yuda waliojihami kwa mapanga walikuwa 470,000.+ 6 Lakini hakuwaandikisha watu wa kabila la Lawi na Benjamini miongoni mwao,+ kwa sababu neno la mfalme lilimchukiza Yoabu.+
-