Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Mambo ya Nyakati 21:24-28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Hata hivyo, Mfalme Daudi akamwambia Ornani: “Hapana, ni lazima niununue kwa bei kamili, kwa sababu sitachukua kitu chako na kumpa Yehova au kutoa dhabihu za kuteketezwa ambazo hazinigharimu chochote.”+ 25 Basi Daudi akampimia Ornani shekeli 600 za dhahabu* kwa ajili ya uwanja huo. 26 Kisha Daudi akamjengea Yehova madhabahu+ mahali hapo na kutoa dhabihu za kuteketezwa na dhabihu za ushirika, akasali kwa Yehova, ambaye sasa alimjibu kwa kushusha moto+ kutoka mbinguni kwenye madhabahu hiyo ya dhabihu za kuteketezwa. 27 Kisha Yehova akamwagiza yule malaika+ aurudishe upanga wake kwenye ala. 28 Wakati huo, Daudi alipoona kwamba Yehova amemjibu kwenye uwanja wa kupuria wa Ornani Myebusi, akaendelea kutoa dhabihu hapo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki