-
2 Samweli 2:22, 23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Basi Abneri akamwambia tena Asaheli: “Acha kunikimbiza. Kwa nini nikuue? Nitawezaje kumtazama usoni ndugu yako Yoabu?” 23 Lakini hakuacha kumkimbiza, basi Abneri akamchoma tumboni kwa ncha ya nyuma ya mkuki,+ na mkuki huo ukatokea mgongoni mwake; akaanguka na kufa papo hapo. Kila mtu aliyefika mahali ambapo Asaheli alianguka na kufa alisimama hapo kwa muda.
-